Robin van Persie akishangilia moja ya mabao yake matatu yaliyoipa ushindi Man United wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton jana jioni.
Van Persie piga penati iliyopanguliwa na mlinda mlango wa Southampton.
Van Persie akishangilia bao la pili kati ya matatu aliyofunga
Van Persie akifunga bao la tatu la Man United dhidi ya Southamton
Robin van Persie akisikitika huku Fonte akimrukia kipa wake baada ya kupangua penati yake.
Wachezaji wa Southampton wakishangilia moja ya mabao yao mawili.Picha Kwa Msaadab wa Mtandao
No comments:
Post a Comment