Rais Jakaya Kikwete(kushoto)akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Rashid Othman (katikati) na Mkuu wa Majeshi nchini Davis Mwamunyange(kulia)Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam jana Wakati wa kumpokea Rais wa Msumbiji Armando Guebuza aliyewasili nchini kwa ajili ya mkutano wa dharura wa siku moja wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (TROIKA) uliofanyika tarehe 4.9.2012 mjini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku moja utajadili mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokarisia ya Congo(DRC)
No comments:
Post a Comment