Mwalimu wa Ujasiriamali kutoka katika Taasisi ya RafikiElimu Foundation, Mama Ashankira Lupembe , akifundisha kwa vitendo namna ya kutengeneza sabuni ya maji. |
Wajasiriamali wakifanya " practical " ya kutengeneza sabuni ya maji kwa vitendo mara baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa waalimu wa ujasiriamali kutoka katika Asasi ya RafikiElimu Foundation. |
Baadhi ya wajasiriamali walio hudhuria katika Uzinduzi wa Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini uliofanyika leo jijini Dar Es salaam. |
Awamu ya kwanza ya mradi huu inafanyika katika mikoa ya Dar Es salaam, Arusha, Morogoro, Kilimanjaro, Dodoma, Mwanza na Mbeya. Jijini Dar Es salaam, mafunzo yanafanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 01 Septemba 2012 hadi tarehe 04 Septemba 2012 katika Shule ya Msingi Mlimani , iliyopo katika Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam... Ratiba kamili ya awamu ya kwanza ya mafunzo haya ni kama ifuatavyo :
1. ARUSHA, MOSHI & MOROGORO : Mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 17 hadi 19 Septemba 2012.. Mwisho wa kujiandikisha katika " programme hii " kwa wakaazi wa ARUSHA, MOSHI na MOROGORO ni tarehe 15 Septemba 2012.
Baadhi ya wanafunzi wa ujasiriamali waliohudhuria katika mafunzo haya wakifuatilia darasa kwa makini. |
Mwisho wa kujiandikisha katika programme hii kwa wakaazi wa DODOMA, MBEYA & MWANZA ni tarehe 25 Septemba 2012.
ORODHA YA MAJINA YA WAJASIRIAMALI WA JIJINI DAR ES SALAAM WALIO JIANDIKISHA KATIKA MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINI.
ORODHA HII NI KWA WAOMBAJI KUTOKA JIJINI DAR ES SALAAM.
1. MIRIAM SYLLERSAID MZIRAY
2. OTMARY CHRISPIN KIOWI.
3. MONICA ELIAH NG'ONA.
4. SHEBA SHAABAN.
5. FRIDA EMMANUEL MUGARULA.
6. AYUB G. KAYOMBO.
7.AMIRI M. MAGORWA.
8. FRANK KAYUMBA.
9.ELIZABETH PATRICK.
10. SHEHA MOHAMED.
11. ROSEMARY FAUSTIN MAOKOLA.
12. MAGRETH GERWIN FAYA.
13. DANIEL A. SWILA.
14. MULIMBA O. RUYEMBE.
15. MWAJUMA SHAMTE.
16. SAMIA SELEMANI.
17. MWANTUMU SELEMANI KALULU.
18. BEATRICE MIROBO CHISANYO.
19. HILDEGATH HAULE.
20. JOYCE MAIGE MGALAGANZA.
21. DIANNA R. MTAITA.
22.LEOKADIA KINGAMKONO ( Tafadhali Tujulishe namba yako ya simu haraka iwezekanavyo )
23. MUGANYILE E. GABRIEL.
24.REHEMA WILLIAM.
26. MAGDALENA R. SHAYO.
27. IBRAHIM JUMA OMAR.
28. SOPHIA SELEMANI ISSA. ( Tafadhali tujulishe namba yako ya simu haraka iwezekanavyo O
29. VICTORIA ABDALLAH MPOMA ( Tafadhali tujulishe namba yako ya simu haraka )
30. JANETH ANDREW.
31. LILIAN BAHATI ( Tafadhali tujulishe namba yako ya simu haraka iwezekanavyo )
32. YUSUFU SAID JADI.
33. TABU RASHIDI LWASSA.
34. MASUMBUKO MANG'OMBE JAMES.
35. HELENA STEVEN CHACHA.
36. FADHILI H. MOTTO.
37. RAMLA H. MOTTO.
38. PETER NGWANDU MASALU.
_______________________________________________
Kwa ambao majina yenu yame orodheshwa hapo juu, mnatakiwa kufika katika eneo la Shule Ya Msingi Mlimani iliyopo katika Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam, siku ya Jumamosi ya tarehe 01 Septemba 2012 saa tatu kamili asubuhi kwa ajili ya Uzinduzi wa Mradi wa Elimu ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini " EUMIVI PROJECT " ambapo mafunzo rasmi ya ujasiriamali katika mradi huu yataanza.
Kufika katika eneo la tukio ( Shule Ya Msingi Mlimani ) : Panda gari za Ubungo-Mwenge, mwambie konda akushushe kwenye kituo kinaitwa UDASA ukifika hapo UDASA kama unatokea Mwenge , tazama upande wako wa kushoto na kama unatokea Ubungo tazama upande wako wa kulia ,utaiona Shule Ya Msingi Mlimani, hapo ndipo yatakapo kuwa yanafanyika mafunzo haya..
Unashauriwa kufika na kitambulisho chako, kalamu pamoja na daftari. Kamera hazita ruhusiwa.
N.B: 1. Kama wewe ni mkazi wa jijini Dar Es salaam, na ulituma maombi ya kujiunga katika mradi huu lakini jina lako halionekani hapo juu. Tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo kabla ya tarehe 01 Septemba...
2. Kama kuna majina ya waombaji kutoka Dar Es salaam yataongezeka, tutayaweka hapa bloguni kabla ya tarehe 01 Septemba 2012.
KWA WAOMBAJI WA MIKOANI :
IFUATAYO NI RATIBA YA UZINDUZI WA AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. MIJINI & VIJIJINI KATIKA MIKOA YA ARUSHA, MOROGORO, KILIMANJARO, MWANZA, MBEYA NA DODOMA.
Kwa waombaji wa mikoani, ratiba ya awamu ya kwanza ya mafunzo haya itakuwa kama ifuatavyo :
1. ARUSHA , MOSHI NA MOROGORO
Mafunzo yatafanyika Tarehe 17, 18 na 19, SEPTEMBA 2012...
2. MWANZA, MBEYA NA DODOMA
Mafunzo yatafanyika tarehe 27, 28 na 29, Septmba 2012.
No comments:
Post a Comment