Mama Shujaa wa Chakula akionyesha ushujaa wa chakula
Usaili wa Maisha Plus unaendelea mkoani Mwanza; baada ya hapa timu nzima itaelekea Morogoro katika wilaya ya Mvomero na siku inayofuata itaibukia Igula, Mkoani Iringa. "Tukitoka Iringa tunahamia Sumbawanga huko Kantalamba then tutarudi Mbeya, baadaye tutaelekea Kilwa kisha Masasi na Zanzibar itafuatia. Dar es Salaam itakuwa ya mwisho ambayo usaili wake utafanyika Septemba 22 na 23," anasema Masoud Kipanya. Fomu za kushiriki shindano hili kwa Dar es Salaam zinapatikana katikaDuka la KP lililopo Millenium Towers Kijitonyama. Kama unahitaji fomu Piga namba 0717104303 uelekezwe.
No comments:
Post a Comment